Kiluvyapub

Member since June 8, 2009

follow this user
  • 22 videos
  • 0 following
  • 0 follower

Recent Activity

Belle - Sumu Ya Penzi
Is This Joke Racist?
Richard Pryor: PRISON
Katt Williams - Weed
mipango sio matumizi part 1
Ferouz ft Ze comedy - boossi
NAUMIA ROHO - DULLAYO
Kiwango cha muziki wa kisasa bongo kipo juu sana baadhi tu ya wasanii wadogo mambo wanayofanya ya kiwango cha kimataifa. Dullayo ni mmoja kati ya vizazi vipya ambaye kwa kiasi kikubwa kila kitu atoacho kinakonga nyoho nyingi za wasikilizaji ndani na nje ya nchi. Hongera Dullayo unakaribishwa kupata kinywaji Kiluvya Pub, pia kutoa burudani kwa wapenzi wa pub.
Dully Sykes - Shikide
ManDojo And Domokaya Feat Maunda Zorro - Utanisimanga
ManDojo And Domokaya Feat Maunda Zorro - Utanisimanga. Vijana hawa wanastahili pongezi kubwa kwa style yao safi na kamilifu. Kiluvya Pub inawapa pongezi na Mungu azidi kuwapa upeo zaidi wa kuelimisha jamii hii ya Tanzania, pia kuiburudisha
Michael Jackson afariki dunia
Uongozi wa Kiluvya Pub unaungana na watanzania wote na watu wote duniani kuombeleza msiba mkubwa uliyoipata familia ya Jackson. Vyombo vya habari vya CNN na SKY pamoja na BBC, vimethibitisha kuwa Michael amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 26 huko Marekani. Michael amefariki akiwa na miaka 50, amefariki kabla hata wahudumu wa hospitali (Paramedics) hawajafika, amefariki na heart attack, ameacha watoto watatu Michael Joseph Jackson, Jr, Paris Michael Catherine Jackson na Prince "Blanket" Micha.
Burudika na KIluvya Pub
Wasanii mbalimbali wa Bongo-flava yaani muziki wa kizazi kipya mara nyingi wanatembelea Kiluvya pub kufanya show kali. Burudika na Kiluvya Pub usipitwe na msanii wako umpendaye kuwa updated na Kiluvya Blog, mwanadada Happy akimshirikisha Marlaw katika nyimbo NATAKA
Wazee wa Ngwasuma Fm Academia na KPub
Kaa mkao wa kula kwa wale wapenzi wa Muziki wa dance na bongoflava siku yoyote Wazee wa ngwasuma watakuwa ndani ya Pub yako maarufu ya kiluvya. Hapa wanamuziki mbalimbali wa bongoflava wanaalikwa kutumbuiza, kwa taarifa zaidi jisajili na blog yako ya kiluvyapub.
1