nukta77

Member since April 19, 2008

follow this user
  • 222 videos
  • 1 following
  • 2 followers

Recent Activity

Wananchi wazungumza kwa uchungu na masikitiko juu ya adha ya uchimbaji madini
The effects of multinational gold mining on local communities in Tanzania. While Canadian and Australian mining companies reap the profits of record high gold prices, local residents suffer forced displacement, and remain destitute. A documentary Presented by the Christian Council of Tanzania, Norwegian Church and DundasFilm (by KAIROS Canada) Tovuti hii inamshukuru Adam Jackson Foya wa marafikiwavitabu.wordpress.com kwa kutufahamisha kuhusu video hii. Linki ya video ni http://vimeo.com/7690704
Vimbwanga vya Wanawake na soka
Huyu mdada Elizabeth Lambert alikuwa akiichezea soka timu yake ya Chuo Kikuu cha New Mexico lakini kwa sasa amesimamishwa pasipo muda maalumu kuichezea timu hiyo kutokana na visa vyake vya kupiga na kukwatua kwa makusudi ya kuwaumiza wachezaji wa timu pinzani. Amekuwa akifanya hivi kwa muda na akawa anaachiwa ama kupewa onyo la kadi ya njano tu, hata kumkwatua mtu kwa nyuma au kumpiga ngumi anaishia kupewa tu kadi ya njano badala ya nyekundu na pengine faini na onyo kali. Baadhi ya video hizi inaonesha kuwa wakati mwingine amefanya vitendo hivi kama kinga binafsi pale anapoguswa ama kubughudhiwa, kwenye video hiyo hapo chini utaona dada mmoja akimpiga kipepsi cha tumbo na mwingine akiikamata bukta yake, yeye majibu yake ni kuwakwida. Ukomo wa haya yote umefika baada ya video kupostiwa katika mtandao jamii wa video, YouTube, juu ya tukio la Elizabeth kumfanyia vitimbi mchezaji wa timu ya Chuo Kikuu cha Bringham Young. Hati posti hii inawekwa hewani, video hiyo imeshapata utazamaji mara 3,321,459. Isingekuwa ni video hiyo kuwekwa hadharani, mdada huyu angeendelea tu kutesa kiwanjani kama ambavyo alikuwa akitesa kabla ya hapo. Tizama video hapo chini toka youtube.com/yMao8hDtnxk
Moto wa kweli wawaka: Walokole na Wachawi walipopambana Dar
Ametutonya mdau SB kwenye kisanduku cha maoni ya posti iliyotangulia akitaka wasomaji na waliojiandikisha kupokea habari hapa (500+) waipate hii mupya na kali ya kufungia mwaka. Tukio hili linadaiwa kutokea eneo la Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Novemba 12, 2009 baina ya walokole kutoka Kanisa la International Pentecoste Hollyness Church Ebenezer na  ‘wachawi’ kupambana mtaani mchana kweupe. Mashuhuda waliokuwepo wanadai kuna vitu vikiruka angani huku nyoka waubwa na wadogo wakitoka katika nyumba ya kijana mmoja aitwaye Kafumu Moto ambaye inadaiwa ni mganga wa jadi tishio katika eneo hilo. Walisema, tukio hilo lilianza majira ya mchana wakati kundi la walokole zaidi ya 18 likiongozwa na mhubiri maarufu katika eneo hilo aliyetajwa kwa jina moja la Kefa ambaye amepachikwa jina la Jesus, waliposambaa mtaani na kuanza kupiga injili ambayo ililenga kuangamiza uchawi, mapepo na kuleta wokovu katika eneo hilo. Mashuhuda hao walisema kuwa, pitapita hizo za walokole, ziliishia katika nyumba ya Kafumu Moto ambapo walianza kupiga neno la mungu kisawasawa kitendo kilichomkera mganga huyo kijana na kumfanya naye kuingia ndani na kuvaa magwanda yake ya kazi ya kichawi, kisha kuchukua silaha zake za uchawi wakiwemo nyoka wakubwa na wadogo kisha kutoka nje akiwa na wapambe wake na kuanza kushambuliana na walokole hao. Kafumu Moto aliamrisha majoka yake kuwashambulia walokole, ambao walitimua mbio na kutawanyika mtaani, huku baadhi yao wakienda kuweka kambi katika kilima kimoja porini kuendelea na maombi yao kwa sauti ya juu. Walokole walikuwa wakikemea kwa nguvu huku Mganga Kafumu naye akikemea kwa kutaja mizimu yake akiiomba iwaangamize kabisa walokole wale ambao yeye aliwaita ni wachawi wanaotumia neno la Mungu kumuangamiza. Katika hali ya kushangaza mlokole mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Lazaro Daniel alianza kufuka moshi mkubwa ulioanzia kwenye mifuko yake ya suruali ambapo alianza kupiga kelele na kuvua suruali hiyo kisha kubakia na nguo yake ya ndani.
Get well soon Hasheem Thabeet
Hasheem Thabeet (lying down) being examined soon after the injurySports players are prone to injuries and so was the case with Hasheem Thabeet, the Tanzanian playing professional NBA in the USA. Thabeet left the Tuesday's night game with a broken jaw when his team, Memphis Grizzlies, was playing against Portland Trail Blazers. He got injured one minute after entering the game in the late first quarter in which his jaw collided with forward, team mate, Zach Randolph's head. This was Thabeet's 7th game of the season. In the previous six games, he had scored 4 points, 11 rebounds and 6 blocks. Now the top two picks of the 2009 NBA draft Blake Griffin and Hasheem Thabeet are both on the injured list. Below is the video showing how the collision happened and when scrambling for the ball (it happens at the :27 mark) Video courtesy of NBA.com videos via larrybrownsports.com This site wishes Hasheem Thabeet a speedy recovery and a successful  season.
How to avoid roguewares
Panda labs blog has an update about a rogueware that attack computers and demand ransom before they allow you access to any files in your computer. This particular rogueware will throw a pop up notice demanding a hefty $79 in order to 'remove malware it claim to have found in your computer system'. The truth of the matter is, there is no any malware, instead, this rogueware is going to install some. Good thing is, Panda and may other genuine anti-virus softwares have a cure for it. See the video below. But, probably the best cure for this and many other similar threats will be to NEVER open any suspicious attachment from anybody (people you know or don't know). Also as a rule of thumb, never click a link coming from a person you don't know, if you receive it from a person you might know and it still doesn't feel okay, do yourself a favor and double check with them. Asking if they sent an attachment, what it was and why, could save your computer data and personal information. Read more at: http://pandalabs.pandasecurity.com There is a blog dedicated to reporting about roguewares, you can subscribe for updates. Here is the link http://rogueantispyware.blogspot.com/
How to use Google Dashboard to rganise your Gmail+other Google products
You probably have been accessing your " [...]
They say, 'don't drink and drive' instead do this...
It's weekend. A time of the week when a lot of people say goodbye to office work until two days elapse. It's also the end of the month when a lot of people get their monthly pays. And for those with no due debts nor 'upatu' feel it's time to make the most of it. It's a combination of these and other factors that encourage a lot of people to plan activities and decide to have fun and enjoy a drink or two or five or ten or twenty of alcohol conta [...]
Kumbe 'kiwanzenza' na 'mayenu' ni globalized
Tizama video hiyo hapo ukaone hako kabinti ka kitasha
Whose baby is this? (watch the video)
I saw this video on Facebook and thought I should share it with you.
Check out the boy starting the 43rd minute onwards...
There is becoming drunk, and then there is this...
How drunk can you become at 10 o'clock in the morning?
Hotuba: Julius Kambarage Nyerere (pt 1/3) [updated]
Hotuba hii niliiposti mwaka jana, hivi leo nairudia ikiwa ni katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu, Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere!

Hii ni rekodi kutoka kwenye kanda ya kaseti (audio cassette) niliyonayo yenye kumbukumbu ya hotuba aliyoitoa hayati Mwalimu mnamo siku ya Jumanne mwezi Machi tarehe ya 14 ya mwaka 1995 katika hoteli ya Kilimanjaro (sasa Kempinski).
Siku hiyo Mwalimu alizungumzia mengi ikiwa ni pamoja na "nyufa zinazoitikisa nyumba ya Tanzania". Mwalimu alisema:


(pleya itachukua muda kusikika kusikika kulinganana kasi ya intaneti unayotumia. Ikiwa husikii kwenye pleya moja, jaribu nyingine)
Hotuba: Julius Kambarage Nyerere (pt 3/3) [updated]
Hotuba hii niliiposti mwaka jana, hivi leo nairudia ikiwa ni katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu, Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere!

Sehemu hii ni ya tatu na ya mwisho katika mfululizo wa hotuba ya Marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa katika hoteli ya Kilimanjaro (sasa Kempinski) siku ya Jumanne, tarehe ya kumi na nne ya mwezi wa Machi mwaka moja elfu, tisa mia, tisini na tano.
Kwa marejeo ya sehemu ya kwanza bofya hapa na kwa sehemu ya pili bofya hapa.

Mwalimu alisema:


(pleya inachukua muda kusikika kulinganana kasi ya intaneti unayotumia.Ikiwa husikii kwenye pleya moja, jaribu nyingine)
Hotuba: Julius Kambarage Nyerere (pt 2/3) [updated]
Hotuba hii niliiposti mwaka jana, hivi leo nairudia ikiwa ni katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu, Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere!

Wiki iliyopita tuliisikiliza sehemu ya kwanza ya hotuba (bofya hapa kuirejea) aliyoitoa marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika hoteli ya Kilimanjaro (Kempinski) mnamo siku ya Jumanne mwezi wa Machi tarehe ya 14 ya mwaka 1995. Hii hapa ni sehemu ya pili kati ya sehemu tatu za hotuba hiyo. Mwalimu alisema:




(pleya inachukua muda kusikika kulinganana kasi ya intaneti unayotumia, ikiwa husikii katika pleye moja, jaribu nyingine)
Diego Armando Maradona ashangilia ushindi kihivi...
Ilikuwa ni kiecheko na nderemo kwa timu ya mpira wa miguu ya Argentina baada ya kuichapa Peru bao 2 kwa 1 na hivyo kuibuka mshindi katika mojawapo ya mechi za kinyang'anyiro cha kupata tiketi ya kucheza kombe la dunia litakalofanyika nchini Afrika Kusini hapo mwakani (2010). Kocha wa timu hiyo, Diego Armando Maradona alishindwa kujizuia furaha yake hasa ukizingatia kudorora na kupoteza mechi kadhaa hivyo safari hii alifanya malipizi na kupiga mbizi kiwanjani. Tazama video hapo chini baada ya picha...
The Boy Who Harnessed the Wind - We need more of him in Tanzania
With power problems that we have in Tanzania, I just wish we had many of Kamkwamba to help us find a solution to this historical problem. When I listened to Kamkwamba's story, I wondered, why is Malawi still facing power shortages? and What is it that our educated engineers in Tanzania can't agree to work on to solve this problem?
So, literally, this tells me that there is more into it than just the 'happy ending story of Kamkwamba'. Is the dirty politics in the middle of this again?

Listen and watch videos about this remarkable story of Wiliam Kamkwamba 
 
A Windmill That Saves a Village 

In 2002, teenaged William Kamkwamba had a vision in the very poor African nation of Malawi: A little bicycle generator that powers a light, if connected to a windmill, could allow him to read his schoolbooks at night. As he went further with his plans, he began to see how such a windmill might actually bring the 20th century to his own village. Out this week is "The Boy Who Harnessed the Wind," a book that tells Kamkwamba's story. We talked with William Kamkwamba and Bryan Mealer, the book's co-authors.
Listen here.








The Daily Show With Jon Stewart
Mon - Thurs 11p / 10c

William Kamkwamba

www.thedailyshow.com




Daily Show
Full Episodes
Political Humor
Ron Paul Interview
Video: Child prostitution! (Kenya)
This is pathetic. Absolutely wrong in either way you look at it. A child can not be subjected to these kinds of torture and suffering. It's one thing to think about it but hearing them lamenting and wondering why this was done to them, it kills your heart especially if you care and you have a human heart. It is really sickening and demonic. I fully condemn it and anybody who thinks this is just ok, you are sick too, can you imagine if this was done to you when you were a child?... horrid! (sorry to all of you who went through this, hopefully justice will be done someday).
Kenya's stunning beaches attract thousands of tourists each year but this tropical paradise hides a harrowing secret. Children as young as 6 are having to risk their lives and sell sex in order to survive.
As night falls, Mombasas clubs fill up with European male tourists ogling teenage girls. The desperate teenagers wear high heels and pay a bribe to get in. The ultimate hope is Mzungu, a white man who will pay 5 times more for sex, than a Kenyan labourer can earn in a day. Three years ago a study by UNICEF reported that approximately 30% of the population of children aged between 12 and 18 were engaged in some form of sex work. Since this report, political violence and economic crisis has left 10 million Kenyans starving, forcing more youngsters into the sex trade. I started when I was 12. I could go into a nightclub and I could count 10 to 20 girls that were prostitutes, tells 14-year-old prostitute Leyla. I ask God, what I have done wrong? I am still a child and I am doing this. Dr. Essam Ahmed works in Mombassas only sexual health clinic and explains there are many loopholes in the judicial system, it's very rare for a perpetrator to be jailed. And although the authorities say they are going to take strict action on those who are taking advantage of young children, the country fears any attack on its reputation could drive innocent tourists away.
by JourneyManPictures
Funny Video: Raymond and The Sexy Cheese
This is HardColdReality's video on "Raymond's way of getting cheese"! For any suggestions and more Raymond visit Micheal Loeck's website: www.immmortal3d.com
"...and I wish I could do more" - Mark Grantham
Mark Grantham has sold chocolate in Newmarket for 18 years to fund-raise for World Vision children in Africa and India. Now he's traveling to Tanzania to visit some of his kids. How will he get on? This is a full episode divided into 3 parts. Please watch the videos below.

NOTE: For those of you that are reading this post on Facebook you will not see the videos as they don't get carried over in RSS fees, please visit the blog at http://nukta77.blogspot.com
Mdau Eva C anasema 'tule mboga majani tu jamani'
Sisi waTanzania tunafahamu au tumewahi kusikia kuwepo kwa kitoweo 'samaki nchanga', wengine husema 'panya buku' japo watu wengi wanaoishi maeneo ya mjini, neno hili litakuwa la kufikirika tu na pengine mzaha na masikhara. Bila shaka yoyote, nikweli kuwa panya ni kitoweo kwa baadhi ya makabila ya Tanzania hasa yale ya Kusini, mikoa ya Nyanda za juu Kusinina hasa kaskazini kwenye jamii ya Wahadzabe. Vile vile mnyama huyu ni kitoweo katika maeneo ya baadhi ya nchi nyingine za dunia katika mabara kama vile Asia na Amerika ya Kusini.
Baadhi ya viumbe wanaoliwa ambao aghalabu ni nadra kukubalika katika jamii nzima ni pamoja na, Panya, Panya buku, Nyoka, Chura, Ng'e, Mende (aina fulani), Senene, Barale, Kumbikumbi nk.

Hizi ni picha alizonitumia mdau Eva na video inayoonekana hapo baada ya picha nimeipata YouTube.
1 3 18