Sign Up Now
Watch the best videos collected by nukta77.
Join 112 others following nukta77's collection of 951 videos. It's free to sign up.
VodSpots
Statistics
| 951 | Videos |
| Monthly Views |
Top Tags
-
Taarifa habari TBC na RSI (Ashikiliwa kwa rushwa ya ngono; Abakwa na kuuawa)
Taarifa ya TBC inazungumzia habari Rais na marekebisho katika safu ya Baraza la Mawaziri. Taarifa ya kipindi cha Dira ya Leo cha RSI (Redio Sauti ya Injili) ina habari ya kusikitisha ambapo Ofisa Mtumishi Mkuu Daraja la Pili katika Halmashauri ya jiji la Mwanza Pius Songoma anashikiliwa na kikosi cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...Collected in wavuti's video collection May 4, 2012 -
Mawaziri Wapya 2012: Rais Kikwete arekebisha safu ya Baraza la Mawaziri
Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ndiyo amemaliza kuzungumza kuhusu marekebisho ya Baraza la Mawaziri. Bila shaka wengi wanataka kuwafahamu waliopoteza nyadhifa zao.Collected in wavuti's video collection May 4, 2012 -
video: Fabrice Muamba ashukuru
Ni baada ya tukio ambalo kwa hali ya kawaida likitokea huwaondolea uhai walio wengi. Yeye anaingia katika rekodi ya wale wachache walioendelea kuishi baada ya hatari hiyo, ama kwa juhudi za kimatibabu au kwa imani, kila mtu aamue atakavyo.Collected in wavuti's video collection May 3, 2012 -
video: 2 year old dancing the jive - Dogo amekolea
Video description (cross-posted from youtube): The boys name is William Stokkebroe. After seeing his parents Kristina and Peter Stokkebroe and the dancers of studie43 practising he is showing what he has learned at the Galla opening 2.Collected in wavuti's video collection May 3, 2012 -
Kampuni ya Akamba (Kenya) sawa na Scandinavia (Tanzania)? = Kifo?
Sitaisahau Kampuni ya Akamba hasa kwa usafiri wake wa mabasi kwa kuwa safari yangu ya kwanza kwenda na kurudi Nairobi, Kenya ilikuwa ya kihistoria na itabakia kuwa hivyo maisha yangu yote kwani ipo katika hesabu yangu ya idadi za vifo ambavyo nimewahi kukwepeshwa bila kujua hadi vinapotokea! Umewahi kuketi kwenye kiti, ukampisha mtu mwingine...Collected in wavuti's video collection May 2, 2012 -
Behind the scenes with Female & Male cast members of 'Think Like a Man'
Gabrielle Union, Regina Hall and Meagan Good share how they are similar to their characters in the new romantic comedy Think Like a Man. The male cast members of Think Like a Man Terrence Jenkins, Kevin Hart, Michael Ealy, Jerry Ferrara, Romany Malco on what they look for in a woman, what they consider a deal breaker and how they deal... ...cCollected in wavuti's video collection May 2, 2012 -
Taarifa ya habari TBC, Mei Mosi 2012
Bofya kifute cha pleya kusikiliza. ...cCollected in wavuti's video collection May 1, 2012 -
Video: Sabodo akizungumza kuhusu Tanzania, CCM, CHADEMA
Mfanyabiashara mashuhuri Mustapha Rajabu Jafar Sabodo akizungumza na Wajumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA katika Hoteli ya Mbezi Garden tarehe 29 Aprili 2012. ...click the title/link to read more.Collected in wavuti's video collection May 1, 2012 -
Taarifa ya habari TBC 30.04.2012
Bofya kifute cha pleya kusikiliza. ...cCollected in wavuti's video collection Apr 30, 2012 -
Magoli: Haruna Moshi, Mafisango, Okwi kati ya Simba vs Al Ahly Shandi
videos credit: Shaffih Dauda ...click the title/link to read more.Collected in wavuti's video collection Apr 30, 2012 -
Mahakama yatengua Ubunge wa Mbunge wa Sumbawanga Mjini, CCM
Bofya kifute cha pleya kusikiliza ...click the title/link to read more.Collected in wavuti's video collection Apr 30, 2012 -
Taarifa ya habari TBC 29.04.2012
Bofya kifute cha pleya kusikiliza. ...cCollected in wavuti's video collection Apr 29, 2012 -
Grenade kills one in a Church attack - Kenya Official [US Embassy had warned]
A 13 year old boy is the youngest victim of a grenade attack at the God's House of Miracle Church at Ngara. According to Kenyatta National Hospital's Communication Manager Simon Ithai, the hospital has received 11 victims, 1 in critical condition after sustaining injuries to the chest while one other was dead.Collected in wavuti's video collection Apr 29, 2012 -
Dkt. Lwaitama, Kafulila, Dkt. Mwakajumilo, Mwaihojo, Dkt. Kitila Mkumbo wazungumza kwenye kongamano la Muungano Mbeya
Zipo video za wazungumzaji wengine - Dkt. Mwakajumilo, David Kafulila, Prince Mwaihojo na Dkt.Collected in wavuti's video collection Apr 29, 2012 -
Nisimamishe - John Lisu na Waimbaji
Utukukufu apewe Mwenye Mbingu na Nchi. ...cCollected in wavuti's video collection Apr 29, 2012 -
Taarifa ya habari TBC 28.04.2012
Bofya kifute cha pleya kusikiliza. ...cCollected in wavuti's video collection Apr 28, 2012 -
Tahadhari kwa mnaofanya biashara China, kwa mfano huu jifunzeni
Unaweza kumsikia aliyekumbwa na masaibu haya akizungumza kwenye pleya iliyopachikwa hapo chini. --- It's dinnertime at a bustling Kentucky Fried Chicken in the Little Africa neighborhood of Guangzhou, in southern China.Collected in wavuti's video collection Apr 28, 2012 -
Just got married! He is 89, She is 79, they say "I do til death do us part!"
'fanya ile kitu roho inataka' (do as your heart feels) and live your life! No more time for "but" or asking "why" The couple wedded at the end of February, 2012.Collected in wavuti's video collection Apr 28, 2012 -
Taarifa ya habari TBC 27.04.2012
Bofya kifute cha pleya kuisikiliza. ...cCollected in wavuti's video collection Apr 27, 2012 -
Kamati Kuu ya CCM imeridhia Rais kulivunja Baraza la Mawaziri - CloudsFM
Tafadhali bofya linki ya audio hapo kusikiliza taarifa ya habari ya CloudsFM iliyosomwa saa 12 jioni leo. Kamati Kuu iliyokutana leo tarehe 27/04/2012 chini ya Mwenyekiti wake Mhe.Collected in wavuti's video collection Apr 27, 2012
Comments
nukta77 Taarifa ya TBC inazungumzia habari Rais na marekebisho katika safu ya Baraza la Mawaziri. Taarifa ya kipindi cha Dira ya Leo cha RSI (Redio Sauti ya Injili) ina habari ya kusikitisha ambapo Ofisa Mtumishi Mkuu Daraja la Pili katika Halmashauri ya jiji la Mwanza Pius Songoma anashikiliwa na kikosi cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa... Read More
May 4, 2012