Sign Up Now
Watch the best videos collected by Tangibovu.
Join 198 others following Tangibovu's collection of 1,369 videos. It's free to sign up.
Statistics
| 1369 | Videos |
| Monthly Views |
Top Tags
-
Kesi ya kupinga ubunge wa Makongoro Mahanga yatupwa
Mbunge wa segerea ametetea kiti chake kilichopingwa mahakamaniCollected in Tangibovu's videos May 3, 2012 -
Jeshi la polisi litatoa milioni kumi ukiwataja waliomkata mapanga mwanachama wa Chadema
Kiongozi wa Chadema aliyekatwa mapanga .Collected in Tangibovu's videos May 1, 2012 -
Mbunge wa Sumbawanga mjini apoteza kiti chake
Mahakama kuu imemvua kiti mbunge wa Sumbawanga mjiniCollected in Tangibovu's videos Apr 30, 2012 -
Kesi ya kumpinga mbunge wa chadema Tundu Lissu yatupiliwa mbali na mahakama kuu
Mahakama kuu kanda ya Dodoma imetupilia mbali kesi dhidi ya Tundu Lissu kunyan'ganywa ubunge wa singida mashariki.Collected in Tangibovu's videos Apr 28, 2012 -
JK kapewa kibali cha kuvunja balaza la mawaziri
Chama cha mapinduzi kimelizia maombi ya JK kutaka kuwaajibisha mawaziri waliotajwa na mkaguzi wa serikali kuwa wizara zao zimefuja fedha za walipakodiCollected in Tangibovu's videos Apr 27, 2012 -
Mtoto mwenye viungo vya ajabu azaliwa Tanzania
Mtoto wa ajabu amezaliwa katika hospital ya mkoa wa Ruvuma. Mtoto amezaliwa akiwa sehemu za siri za jinsia zote mbili zikiwa kichwani na sehemu ya chini.Collected in Tangibovu's videos Apr 27, 2012 -
Chadema na elimu ya katiba yaelekeza lawama kwa serikali.
Chadema yandeleza vikao vya elimu ya katibaCollected in Tangibovu's videos Apr 26, 2012 -
DR Slaa kukamatwa kwa kosa la uchochezi
Jeshi la polisi kufungua mashtaka dhidi ya katibu mkuu wa Chadema kwa kosa la kuwataka wakazi wa Mwanza kuvamia vituo vya policeCollected in Tangibovu's videos Apr 25, 2012 -
R. Mengi achaguliwa kuwa kiongozi bora aliyejitosa kwenye jamii- Toka channel Ten
Kwa mara nyingine bosi wa makampuni ya IPP Jitiada zake kwa jamii zinaonekana kwa watu wa mataifa mbali mbali, na kumtunuku kuwa kiongozi bora kati ya viongozi wengi wanajitosa kusaidia jamii kwa ujumla.Collected in Tangibovu's videos Apr 25, 2012 -
Pata habari za ndani ya Tanzania via TBC
Nguzo za umeme wa high voltage zaangukia magari na kuzua kizazaa kwa mudaCollected in Tangibovu's videos Apr 24, 2012 -
Habari za Bungeni via TBC Taifa
Pata yalijiri katika kikao cha bunge via TBCCollected in Tangibovu's videos Apr 24, 2012 -
Spika awataka wabunge wasome kanuni kuepusha malumbano.
Spika wataka wabunge wasome kanuni za bunge ili waweze kwenda na wakatiCollected in Tangibovu's videos Apr 24, 2012 -
Pinda akilfunga kikao cha bunge Dodoma
Waziri Mkuu akiitimisha kikao cha bunge mpaka kikao kijacho cha bunge la bajetiCollected in Tangibovu's videos Apr 24, 2012 -
Kupambana na rushwa.
Sekta binafsi na vita dhidi ya rshwa.Collected in Tangibovu's videos Apr 21, 2012 -
Wabunge wapewa pongezi
Bunge hili lenye kizazi kipya ndani yake limepongezwa kwa kuichambua srikali kisawasawa bila wogaCollected in Tangibovu's videos Apr 21, 2012 -
Bungeni wabunge na kuiwajibisha serikali
Bunge la Tanzania limekuwa moto kuliko vikao vya nyumaCollected in Tangibovu's videos Apr 20, 2012
Comments
Tangibovu Mbunge wa segerea ametetea kiti chake kilichopingwa mahakamani
May 3, 2012