Kaa mkao wa kula kwa wale wapenzi wa Muziki wa dance na bongoflava siku yoyote Wazee wa ngwasuma watakuwa ndani ya Pub yako maarufu ya kiluvya. Hapa wanamuziki mbalimbali wa bongoflava wanaalikwa kutumbuiza, kwa taarifa zaidi jisajili na blog yako ya kiluvyapub.