Wapende watoto. Wafunze. Waongoze vyema. Usiwaonee. Usiwadhulumu. Usiwapotoshe! Ukatili kwa watoto ni kujijengea Taifa la watu katili ambamo sote tunaishi. Ni hasara kwetu sote.
Wapende watoto. Wafunze. Waongoze vyema. Usiwaonee. Usiwadhulumu. Usiwapotoshe!
Ukatili kwa watoto ni kujijengea Taifa la watu katili ambamo sote tunaishi. Ni hasara kwetu sote.