You've added this video with the title
"Hotuba: Julius Kambarage Nyerere (pt 2/3) [updated]". To change this title, or add tags or comments,
click here.
Wiki iliyopita tuliisikiliza sehemu ya kwanza ya hotuba (bofya hapa kuirejea) aliyoitoa marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika hoteli ya Kilimanjaro (Kempinski) mnamo siku ya Jumanne mwezi wa Machi tarehe ya 14 ya mwaka 1995. Hii hapa ni sehemu ya pili kati ya sehemu tatu za hotuba hiyo. Mwalimu alisema: au (vumilia pleya inachukua muda kulinganana kasi ya intaneti unayotumia)
Hotuba hii niliiposti mwaka jana, hivi leo nairudia ikiwa ni katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu, Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere!
Wiki iliyopita tuliisikiliza sehemu ya kwanza ya hotuba (bofya hapa kuirejea) aliyoitoa marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika hoteli ya Kilimanjaro (Kempinski) mnamo siku ya Jumanne mwezi wa Machi tarehe ya 14 ya mwaka 1995. Hii hapa ni sehemu ya pili kati ya sehemu tatu za hotuba hiyo. Mwalimu alisema:
(pleya inachukua muda kusikika kulinganana kasi ya intaneti unayotumia, ikiwa husikii katika pleye moja, jaribu nyingine)
send to me video and picture for mwalimu.it will be better.