Moto wa kweli wawaka: Walokole na Wachawi walipopambana Dar

share
1

Recent videos from nukta77

3 Red Valentine
Jan 3, 2010
4 Never a year like 2009!
Dec 30, 2009
5 The rings please...
Dec 28, 2009
241 videos see all

what people are saying

Ametutonya mdau SB kwenye kisanduku cha maoni ya posti iliyotangulia akitaka wasomaji na waliojiandikisha kupokea habari hapa (500+) waipate hii mupya na kali ya kufungia mwaka. Tukio hili linadaiwa kutokea eneo la Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Novemba 12, 2009 baina ya walokole kutoka Kanisa la International Pentecoste Hollyness Church Ebenezer na  ‘wachawi’ kupambana mtaani mchana kweupe. Mashuhuda waliokuwepo wanadai kuna vitu vikiruka angani huku nyoka waubwa na wadogo wakitoka katika nyumba ya kijana mmoja aitwaye Kafumu Moto ambaye inadaiwa ni mganga wa jadi tishio katika eneo hilo. Walisema, tukio hilo lilianza majira ya mchana wakati kundi la walokole zaidi ya 18 likiongozwa na mhubiri maarufu katika eneo hilo aliyetajwa kwa jina moja la Kefa ambaye amepachikwa jina la Jesus, waliposambaa mtaani na kuanza kupiga injili ambayo ililenga kuangamiza uchawi, mapepo na kuleta wokovu katika eneo hilo. Mashuhuda hao walisema kuwa, pitapita hizo za walokole, ziliishia katika nyumba ya Kafumu Moto ambapo walianza kupiga neno la mungu kisawasawa kitendo kilichomkera mganga huyo kijana na kumfanya naye kuingia ndani na kuvaa magwanda yake ya kazi ya kichawi, kisha kuchukua silaha zake za uchawi wakiwemo nyoka wakubwa na wadogo kisha kutoka nje akiwa na wapambe wake na kuanza kushambuliana na walokole hao. Kafumu Moto aliamrisha majoka yake kuwashambulia walokole, ambao walitimua mbio na kutawanyika mtaani, huku baadhi yao wakienda kuweka kambi katika kilima kimoja porini kuendelea na maombi yao kwa sauti ya juu. Walokole walikuwa wakikemea kwa nguvu huku Mganga Kafumu naye akikemea kwa kutaja mizimu yake akiiomba iwaangamize kabisa walokole wale ambao yeye aliwaita ni wachawi wanaotumia neno la Mungu kumuangamiza. Katika hali ya kushangaza mlokole mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Lazaro Daniel alianza kufuka moshi mkubwa ulioanzia kwenye mifuko yake ya suruali ambapo alianza kupiga kelele na kuvua suruali hiyo kisha kubakia na nguo yake ya ndani. Baada ya Kefa kuona mwenzake akiwaka, a
Nov
2009

add a comment

2000 characters left.
First collected by nukta77
Nov 13, 2009
from youtube.com
join Your favorite videos on the web, in one place. Start your collection now.

related videos

collected by 1 person

featured on 1 site

details

148 views
Flag this Video as inappropriate or broken